Hapa kuna orodha ya hitilafu za kawaida za terminali na kwa nini zinaweza kutokea:
- ERR_COMMON_ERROR (2)
Je, kwa nini hitilafu hii hutokea?
-
Hitilafu ya Kawaida
- Hitilafu katika upande wa seva
- Sababu nyingine
Soma zaidi kuhusu Ninawezaje kutatua "hitilafu ya kawaida" katika terminali yangu ya biashara?
-
Kukosa ukwasi
- Soko halina ukwasi
- Sababu za ndani
Soma zaidi kuhusu kwa nini Ninapata hitilafu ya ‘Kukosa ukwasi’.
- ERR_INVALID_PARAMETERS (3)
Je, kwa nini hitilafu hii hutokea?
-
Vigezo batili
- Kuna operesheni ya trade isiyojulikana. Kwa mfano: Kujaribu kufunga trade ambayo tayari imefungwa.
- Ukubwa usio sahihi wa lot, bei, viwango au alama zisizo sahihi.
Soma zaidi kuhusu kwa nini Ninapata hitilafu ya “Vigezo batili vya kutrade" na kwa nini Vitufe vya Ununuzi na Uuzaji Havitumiki.
- ERR_SERVER_BUSY (4)
Je, kwa nini hitilafu hii hutokea?
-
Seva ya kutrade ina shughuli nyingi
- Kuna mzigo mkubwa kwenye seva.
- ERR_OLD_VERSION (5)
Je, kwa nini hitilafu hii hutokea?
-
Toleo la terminali ni la zamani
- Terminali imepitwa na wakati. Inapendekezwa usasishe terminali hadi toleo jipya zaidi.
- ERR_NO_CONNECTION (6)
Je, kwa nini hitilafu hii hutokea?
-
Hakuna muunganisho wa seva ya kutrade
- Matatizo ya muunganisho wa intaneti.
- Programu ya kingavirusi inazuia trafiki.
- Kingamtandao inazuia trafiki.
Soma zaidi kuhusu kwa nini Ninapata Hitilafu ya “Hakuna Muunganisho”.
- ERR_ACCOUNT_DISABLED (64)
Je, kwa nini hitilafu hii hutokea?
-
Akaunti imezimwa
- Kuzimwa kwa akaunti
- Hitilafu ya kiufundi
- ERR_INVALID_ACCOUNT (65)
Je, kwa nini hitilafu hii hutokea?
-
Akaunti isiyo sahihi au uidhinishaji haukufaulu
- Seva isiyo sahihi ilichaguliwa.
- Namba ya akaunti isiyo sahihi iliwekwa.
- Nenosiri lisilo sahihi la akaunti limewekwa.
Soma zaidi kuhusu kwa nini Ninapata hitilafu ya “Uidhinishaji haukufaulu” katika terminali yangu ya biashara, na kwa nini Ninapata hitilafu ya "Akaunti Isiyo Sahihi", na kwa nini kitufe cha Order Mpya hakifanyi kazi?
- ERR_TRADE_TIMEOUT (128)
Je, kwa nini hitilafu hii hutokea?
-
Muda wa kutrade umeisha
- Muunganisho wenye hitilafu.
- Matatizo ya mtandao.
- ERR_INVALID_PRICE (129)
Je, kwa nini hitilafu hii hutokea?
- Bei si sahihi
Pata maelezo zaidi kwa nini Ninapata hitilafu ya 'Bei si sahihi'.
- ERR_INVALID_SL/TP (130)
Je, kwa nini hitilafu hii hutokea?
-
Viwango vya SL au TP visivyo sahihi
- Order ina viwango visivyo sahihi vya Stop Loss au Take Profit.
- Pending order ilichaguliwa kwa njia isiyo sahihi.
- SL au TP ilikuwa upande usiofaa.
Soma zaidi kuhusu jinsi ya kutatua hitilafu ya SL au TP isiyo sahihi.
- ERR_INVALID_TRADE_VOLUME (131)
Je, kwa nini hitilafu hii hutokea?
-
Kiwango cha biashara kisicho sahihi
- Order hiyo ina kiwango kisicho sahihi kilichobainishwa.
Pata maelezo zaidi kwa nini Ninapata hitilafu ya ‘Kiwango cha Trade kisicho Sahihi’.
- ERR_MARKET_CLOSED (132)
Je, kwa nini hitilafu hii hutokea?
- Soko limefungwa
Soma zaidi kuhusu hitilafu ya Soko limefungwa.
- ERR_TRADE_DISABLED (133)
Je, kwa nini hitilafu hii hutokea?
-
Trade imezimwa
- Operesheni za biashara haziruhusiwi kwenye akaunti hiyo mahususi.
- Bado hakuna pesa zilizowekwa kwenye akaunti hiyo.
Soma zaidi kuhusu kwa nini Ninapata hitilafu inayonizuia kufanya biashara.
- ERR_NOT_ENOUGH_MONEY (134)
Je, kwa nini hitilafu hii hutokea?
-
Pesa hazitoshi
- Hakuna funds za kutosha kufungua market order mpya.
Soma zaidi kuhusu kwa nini Ninapata hitilafu ya ‘Pesa hazitoshi’.
- ERR_PRICE_CHANGED (135)
Je, kwa nini hitilafu hii hutokea?
-
Bei imebadilika
- Mkengeuko wa juu zaidi kutoka kwenye bei iliyowekwa katika order umezidishwa.
- ERR_OFF_QUOTES (136)
Je, kwa nini hitilafu hii hutokea?
-
Off quotes
- Hakuna bei kwa instrument hii kwa sasa;
- Soko lina ukwasi mdogo;
- Kutrade kwenye metali wakati wa mapumziko ya kila siku;
- Kutrade kwenye instrument hii kumesitishwa;
- Ilitanguliwa na sababu tofauti ya kukataliwa k.m. "Kiwango cha Free Margin Hakitoshi".
Soma zaidi kuhusu kwa nini Ninapata hitilafu ya ‘Off quotes’.
- ERR_BROKER_BUSY (137)
Je, kwa nini hitilafu hii hutokea?
-
Broker ana shughuli nyingi
- Hitilafu hii hupatikana kwenye orodha ya MQ bila maelezo zaidi.
- Sababu inaweza kuwa mzigo mkubwa.
- ERR_REQUOTE (138)
Je, kwa nini hitilafu hii hutokea?
-
Requote
- Muunganisho mbaya wa mtandao.
- Kufanya biashara wakati wa volatility ya juu ya soko.
Soma zaidi kuhusu Requotes.
- ERR_ORDER_LOCKED (139)
Je, kwa nini hitilafu hii hutokea?
- Order imefungwa
- ERR_TOO_MANY_REQUESTS au ERR_TOO_FREQUENT_REQUESTS (141)
Je, kwa nini hitilafu hii hutokea?
-
Maombi mengi sana
- Mteja ametuma orders zaidi ya mara moja katika sekunde 3.
- ERR_TRADE_MODIFY_DENIED (145)
Je, kwa nini hitilafu hii hutokea?
- Urekebishaji umekataliwa kwa sababu order hiyo iko karibu sana na soko
- ERR_TRADE_CONTEXT_BUSY (146)
Je, kwa nini hitilafu hii hutokea?
-
Kuna shughuli nyingi za kutrade
- Zaidi ya script au EA moja zinajaribu kutekeleza operesheni.
Soma zaidi kuhusu hitilafu ya Kuna Shughuli Nyingi za Kutrade.
- ERR_TRADE_TOO_MANY_ORDERS (148)
Je, kwa nini hitilafu hii hutokea?
-
Kiasi cha pending orders kimefikia kikomo kilichowekwa na broker
- Mteja anajaribu kuweka zaidi ya pending orders 50 kwenye akaunti ya Standard Cent.
- Mteja anajaribu kuweka zaidi ya pending orders 100 kwenye akaunti ya Standard.
-
Tick ya zamani
- Muunganisho mbaya kati ya terminali ya mteja na seva.
-
Trades haziruhusiwi
- Mteja alitumia nenosiri la mwekezaji kuingia katika akaunti.
-
Muda wa mwisho wa matumizi usio sahihi
- Tarehe ya mwisho wa matumizi iliyowekwa ilikuwa tayari imepita.
-
Viwango visivyo sahihi vya kusitisha
- Mteja anajaribu kuweka order ya Kiwango cha Kusitisha.
Soma zaidi kuhusu kwa nini Ninapata hitilafu ya “Orders nyingi sana”.