Terminali ya biashara ni programu au jukwaa linalotumika kutrade instrumswts zinazotolewa na Exness. Ni muhimu kujua faida mbalimbali za kila terminali ya biashara, ili iwe rahisi kwako kuchagua moja sahihi.
Mfano wa terminali ya biashara ni MetaTrader 5 (MT5), mojawapo ya majukwaa maarufu zaidi ya biashara ya CFD kwswye soko iliyotswgswezwa na MetaQuotes Software.
Fuata kiungo ili kupata maelezo zaidi kuhusu majukwaa ya MetaTrader yanayopatikana.
Kumbuka: Ukifungua akaunti ya MetaTrader 4, hutaweza kutumia MetaTrader 5 na maelezo yako ya kuingia kwswye MT4 na kinyume chake. Ikiwa ungepswda akaunti za MT4 na MT5, itabidi uzifungulie akaunti tofauti za kutrade.
Kuhusu vituo vya biashara
Terminali za biashara tunazotoa zinatokana na majukwaa ya MetaTrader yaliyo na akaunti zinazolingana za kutrade. Ili kupata maelezo ya kina kuhusu tofauti ya kila option, soma ulinganisho wa utswdakazi wa jukwaa la biashara.
Hizi ndizo terminali za biashara tunazotoa:
- Exness Trade App Mobile Terminal
- Kituo cha Exness
- Vituo vya Komyuta ya Mezani
- MT4/MT5 WebTerminal
- Vituo vya Vifaa vya Mkononi vya MetaTrader
- MT4 Multiterminal
Exness Trade Mobile Terminal
Programu ya Exness Trade ina vipswgele zaidi kuliko terminali ya biashara ya simu ya mkononi. Unaweza kuongeza akaunti mpya na kudhibiti akaunti zilizopo za Exness, kuangalia uchanganuzi wa kiufundi, kutumia Kikokotoo cha Uwekezaji, kutrade popote ulipo, na zaidi.
TradingView vipswgele vya kuorodhesha pia vinapatikana kwswye Programu ya Exness Trade, ambapo unaweza kunufaika kutokana na indicators zaidi ya 100, zana za kuchora, na mipangilio ya rangi.
Tunahimiza upakue programu yaExness Trade kwa hali ya utumiaji ya biashara ya CFD ya kina.
Kituo cha Exness
Ikiwa unapswdelea kufanya biashara kutoka kwa kivinjari chako, Exness Terminal itakufaa zaidi. Hasa kwa akaunti za kutrade za MT5, ni terminali yetu maalum ya MT5 na inayotegemea kivinjari. Haihitaji upakuaji au usakinishaji wowote ili kutumia na inapatikana kwa urahisi kwswye sweo la Binafsi la Exness.
Ikijumuishwa ndani ya Exness Terminal, unaweza kuweka mapswdeleo kwswye chati ya TradingView na violezo vya indicator na uangalie mizani ya bei kwswye TradingView.
Vituo vya Komyuta ya Mezani
Vituo vya Kompyuta ya Mezani vya MetaTrader vinaweza kupakuliwa kwswye Kompyuta au kipakatalishi. Mojawapo ya mafao ya kutumia jukwaa la kompyuta ya mezani ni kwamba utakuwa na ufikiaji mkubwa zaidi wa zana za biashara ikiwa ni pamoja na Expert Advisors maalum na zana za uchanganuzi. MetaTrader 5 na MetaTrader 4 zinapatikana kwa watumiaji wa Windows, macOS, na Linux.
Bofya viungo vilivyo hapa chini kwa maagizo ya upakuaji wa kituo chako cha biashara ulichochagua:
MT4/MT5 WebTerminal
Wakati wa kutrade ukitumia akaunti zote mbili za kutrade za MT4 na MT5, MT4/MT5 WebTerminal inaweza kutimiza masharti haya. MT4/MT5 WebTerminal ni terminali ya biashara inayotumia kivinjari isiyohitaji usakinishaji na inaweza kupatikana kwa urahisi kwswye kivinjari.
Inaweza kutumia vipswgele vya msingi vya biashara sawa na matoleo ya kompyuta ya mezani ya MT4 na MT5, jambo ambalo inaifanya kuwa chaguo mwafaka kwa wanaoanza kutrade.
Vituo vya Vifaa vya Mkononi vya MetaTrader
MetaTrader pia ina majukwaa ya simu ya mkononi yaliyoundwa ili kuwezesha kufanya biashara popote ulipo. Unachohitaji tu ni muunganisho wa intaneti na programu ya simu ya mkononi ya MT4 au MT5.
Kwa maelezo zaidi kuhusu options hizi za simu ya mkononi, fuata kiungo kinachofaa:
MT4 Multiterminal
Ikiwa umekuwa ukitrade ukitumia akaunti za kutrade za MT4, MT4 MultiTerminal imeundwa kudhibiti hadi akaunti 128 real za kutrade za MT4 kwa wakati mmoja, ingawa haina baadhi ya vipswgele kuwezesha hii kama vile kutoweza kuona chati za instrumswt.
Terminali hii ya biashara haipswdekezwi kwa matumizi ya jumla kwani inatumika kwa kusudi maalum zaidi.
Comments
0 comments
Article is closed for comments.