Kuweka na kutoa pesa zinapatikana saa 24 kwa siku, siku 7 kwa wiki. Hata hivyo, kunaweza kuwa na wakati ambapo kuweka pesa hakuonyeshi mara moja. Hii inaweza kutokana na sababu mbalimbali, ikiwa ni pamoja na lakini sio tu vikwazo asili vya njia ya malipo iliyochaguliwa.
Kumbuka: Kulingana na Sera ya Exness, ikiwa hatua ya kuweka au kutoa pesa haitachakatwa mara moja, itachakatwa ndani ya saa 24; unashauriwa kuzingatia muda huu ili kupunguza hatari ya hasara.
Fuata orodha hapa chini ili kuhakikisha kuweka pesa kwako kunachakatwa.
A. Angalia Transaction History
- Ingia katika Eneo Binafsi lako.
- Nenda kwenye Transaction History.
- Chagua Deposit kutoka kwenye menyu kunjuzi.
- Tafuta muamala; wakati wa kuweka pesa, njia ya malipo, akaunti ya biashara, hali na kiasi kilichowekwa vyote vimeonyeshwa hapa.
- Kubofya kwenye muamala kutaleta maelezo yake; hii ni muhimu katika kukujulisha jinsi amana yako inavyochakatwa.
B. Angalia tovuti yetu kwa makadirio ya nyakati za uchakataji, au soma zaidi kwenye njia za malipo.
- Ikiwa kuweka pesa kwako kumepita muda wa uchakataji, wasiliana na Usaidizi wa Exness na maelezo yafuatayo:
-
- Uthibitishaji wa pesa ulizoweka (kwa mfano, picha ya skrini ya ankara iliyopatikana)
- Nambari ya akaunti yako ya kutrade
- Nambari yako ya ankara
- Tarehe uliyoweka pesa
- PIN yako ya Usaidizi (Wasiliana na Usaidizi ili kuomba hii ikiwa bado huna)
Comments
0 comments
Article is closed for comments.