Jukwaa la biashara ni programu muhimu ya kutrade. Jukwaa hili huruhusu mawasiliano kati ya traders na broker, huonyesha masharti halisi ya biashara (bei, instrument, n.k) kwa trader. Majukwaa kadhaa ya biashara yanapatikana kwa vifaa mezani na vya mkononi; akaunti za kutrade zinazotumika ni za MT4 au MT5.
Bofya kichupo chochote hapa chini kwa taarifa zaidi kuhusu majukwaa mbalimbali ya biashara yanayopatikana, ikiwa ni pamoja na ulinganisho wa moja kwa moja wa vipengele vya msingi.
- Exness Trade
- Terminali ya Exness
- MetaTrader 4
- MetaTrader 5
- MultiTerminal
- WebTerminal
- Ulinganisho wa jukwaa
Exness Trade
Exness Trade ni jukwaa maalum la biashara lililobuniwa na Exness na linaloweza kutumia akaunti za kutrade za MT5. Inaweza pia kutumiwa kudhibiti akaunti za kutrade za MT4 na MT5 kwenye Eneo la Binafsi (EB) la kifaa cha mkononi.
Exness Trade inapatikana kwa vifaa vya Android na iOS.
Fuata kiungo kwa mtazamo wa kina wa Exness Trade.
Vipengele muhimu vya Exness Trade:
- Dhibiti akaunti za kutrade za Exness popote ulipo.
- Fanya trade kwa kutumia akaunti ya kutrade ya MT5 kwenye programu.
- Tekeleza transactions popote ulipo kwa uwekaji, utoaji na uhamishaji fedha.
- Usaidizi kupitia gumzo la LiveChat.
- Vipengele vya habari za kiuchumi, vyenye makala, uchanganuzi na zaidi.
Terminali ya Exness
Terminal ya Exness ni terminali ya biashara inayotumika kwenye tovuti ambayo inaweza kufikiwa katika Eneo la Binafsi (EB). Unaweza kufikia jukwa hili lliloundwa kwa ajili ya akaunti za kutrade, za MT5, bila kupakua au kusakinisha.
Fuata kiungo kwa maelezo zaidi kuhusu Terminali ya Exness.
Fikia Terminali ya Exness kwa kubofya option ya Trade kwa akaunti yoyote ya kutrade ya MT5 katika EB.
Vipengele muhimu vya Terminali ya Exness:
- Fanya trade kwa kutumia akaunti za kutrade za MT5 kwenye kivinjari chako.
- Weka na utoe pesa kwenye akaunti za kutrade unapofanya trade.
- Indicator zilizosakinishwa awali na TradingView.
- Usaidizi kupitia gumzo la LiveChat.
MetaTrader 4
MetaTrader 4 (MT4) is among the most widely used trading platforms in the world and developed by MetaQuotes Software. Available to trade forex, cryptocurrencies, commodities, indices, and stocks.
Miongozo ya MT4:
- Jinsi ya kutrade kwa kutumia MT4
MT4 inaweza kupakuliwa kwenye ukurasa wa mwanzo wa Exness.
Aina zote za akaunti hutoa akaunti za kutrade za MT4, na kuifanya kuwa jukwaa la biashara linaloweza kutumika kwa madhumuni tofauti.
Vipengele muhimu vya MetaTrader 4:
- Kiolesura kinachofaa mtumiaji na options zinazoweza kuwekewa mapendeleo.
- Scripts and Expert Advisors (EA) za biashara za kiotomatiki.
- Indicators zilizosakinishwa ndani na zana za kuchora kulingana na MQL4.
- Inapatikana kwa vifaa vya kompyuta za mezani, Android, na iOS.
MetaTrader 5
MetaTrader 5 (MT5) is the fifth-generation of the MetaTrader trading platform developed by MetaQuotes Software, with an enhanced interface and expanded feature set. Available to trade forex, cryptocurrencies, commodities, indices, and stocks.
Miongozo ya MT5:
- Jinsi ya kutrade kwa kutumia MT5
MT5 inaweza kupakuliwa kwenye ukurasa wa mwanzo wa Exness.
Akaunti za biashara za MT5 zinapatikana kwa aina zote za akaunti isipokuwa Standard Cent.
Vipengele muhimu vya MetaTrader 5:
- Zana za uwekaji chati za hali ya juu.
- Indicators na Expert Advisors za MQL5 (EA) zinapatikana.
- Habari za kiuchumi na uchanganuzi wa kiufundi zilizosakinishwa ndani.
- Inapatikana kwa vifaa vya kompyuta za mezani, Android, na iOS.
MultiTerminal
MultiTerminal ni jukwaa la biashara la Windows lililoundwa na MetaQuotes Software na lililosanifiwa ili kudhibiti akaunti nyingi za kutrade. Haipendekezwi kwa traders wengi kwani haina vipengele kadhaa vinavyopatikana katika MT4, lakini ndilo jukwaa linalofaa zaidi la biashara linalopatikana la kufungua orders kwenye akaunti tofauti za kutrade kwa mara moja.
Fuata kiungo kwa mwongozo wa jinsi ya kutumia MultiTerminal.
MultiTerminal inapatikana tu kwa akaunti za kutrade za MT4.
MultiTerminal haijumuishi vipengele kama vile chati, Expert Advisors (EA), scripts, na indicators.
Vipengele muhimu vya Terminali ya Exness:
- Dhibiti, weka kwenye makundi na ufanye trade kwenye akaunti nyingi za kutrade kwa wakati mmoja.
- Mgao wa trade huruhusu usambazaji na udhibiti wa order.
- Inajumuisha mifumo ya Usimamizi wa Akaunti Nyingi (MAM) na Moduli ya Usimamizi wa Ugawaji wa Asilimia (PAMM).
- Inapatikana kwa akaunti za kutrade za MT4 kwenye mifumo ya Windows pekee.
WebTerminal
WebTerminal ni jukwaa la biashara linalotumika kwa kivinjari pekee lililoundwa na MetaQuotes Software na linalopatikana kwenye tovuti ya Exness. Kwa kuwa inatumika kwa kivinjari, hakuna usakinishaji unaohitajika ili kuanza kutrade. WebTerminal inaweza kutumika kwa akaunti za kutrade za MT4 na MT5. Vivinjari vya vifaa vya mkononi pia vinaweza kutumika kufikia WebTerminal.
Fuata kiungo kwa mwongozo wa jinsi ya kutumia Webterminal.
Baadhi ya vipengele vya kawaida vya jukwaa haviwezi kutumika, au vina vikomo kwa uteuzi uliosakinishwa awali.
Vipengele muhimu vya WebTerminal:
- Hakuna usakinishaji; inatumika kwa kivinjari pekee bila kuhitaji programu-jalizi za ziada.
- Usimbaji fiche salama wa tovuti huhakikisha biashara salama.
- Baadhi ya vipengele, kama vile biashara ya kiotomatiki na mwonekano wa chati nyingi, havipatikani.
- Inapatikana kwa matumizi kwa akaunti za kutrade za MT4 na MT5.
Ulinganisho wa jukwaa
Je, ungependa kujua jinsi majukwaa ya biashara yanayopatikana yanalinganishwa? Tumechanganua vipengele muhimu ili kuonyesha vyema vipengele ambavyo vinaweza kukidhi mahitaji yako:
Exness Trade | MT4/MT5 (kompyuta ya mezani) |
MT4/MT5 (kifaa cha Mkononi) |
Terminali ya Exness | WebTerminal | MultiTerminal | |
Biashara ya kiotomatiki* | Hapana | Ndiyo | Hapana | Hapana | Hapana | Hapana |
Indicators | Ndiyo | Ndiyo | Ndiyo | Zilizosakinishwa awali pekee | Zilizosakinishwa awali pekee | Hapana |
Kusakinisha EA/scripts za ziada | Hapana | Ndiyo | Hapana | Hapana | Hapana | Hapana |
Biashara ya akaunti nyingi | Hapana | Hapana | Hapana | Hapana | Hapana | Ndiyo |
Trailing stop | Hapana | Ndiyo | Hapana | Hapana | Hapana | Hapana |
Ishara | Hapana | Ndiyo | Hapana | Hapana | Hapana | Hapana |
Faili za kumbukumbu** zinapatikana | Kutoka kwa kichupo cha Orders | Ndiyo | Kutoka kwa kichupo cha Jarida | Kutoka kwa kichupo cha Historia | Kutoka kwa kichupo cha Jarida | Hapana |
Umbizo la wakati wa faili ya kumbukumbu | Saa za kieneo | Saa za kieneo kama inavyoonyeshwa na kifaa |
iOS: saa za kieneo Android: saa za seva |
Saa za kieneo | Saa za kieneo | Hakuna |
*Biashara ya kiotomatiki inajumuisha matumizi ya Expert Advisors (EA) na scripts.
**Faili za kumbukumbu huhifadhi data kuhusu shughuli ya biashara na ni muhimu kwa utatuzi wa hitilafu za muunganisho, au kwa historia ya order.