Hapana, akaunti za demo ni akaunti za kutrade za mtandaoni. Masharti ya biashara ya akaunti za demo ni sawa kabisa na akaunti real, lakini fedha ni za mtandaoni kabisa. Madhumuni ya akaunti za demo ni kuwapa wafanyabiashara njia ya kufanya mazoezi ya biashara.
Unaposajili akaunti ya Exness, Eneo la Binafsi lako litakuwa na akaunti ya demo yenye msingi wa MT5 yenye USD 10 000 fedha za mtandaoni kwa chaguomsingi.
Inawezekana kufungua akaunti zaidi za demo na kuongeza akaunti zako za demo na fedha za mtandaoni. Akaunti za demo zinaweza kuwa MT4 au MT5 kulingana, na zinapatikana katika aina zote za akaunti isipokuwa Standard Cent.
Comments
0 comments
Please sign in to leave a comment.