Exness Trade ndio suluhisho lako la kufanya biashara katika Exness, kama jukwaa maalum la biashara la kifaa cha mkononi ambalo hufanya usimamizi wa akaunti yako ya Exness na akaunti za kutrade za MetaTrader rahisi.
Exness Trade inaweza kutumia Akaunti za kutrade za MT5 kwa biashara ya kifaa cha mkononi. Akaunti za kutrade za MetaTrader 4 zinaweza kufunguliwa na kudhibitiwa katika Exness Trade, lakini programu ya kifaa cha mkononi ya MT4 inahitajika ili kutrade.
Miongozo ya Exness Trade
Kutumia Exness Trade ni rahisi ukiwa na mfululizo wetu wa miongozo ya kina kwa kila hatua:
- Je, ninawezaje kusakinisha Exness Trade?
- Je, ninawezaje kudhibiti akaunti zangu katika Exness Trade?
- Je, ninawezaje kufanya transactions katika Exness Trade?
- Je, ninawezaje kutrade katika Exness Trade?
- Je, Exness Trade hutoa vipengele gani vya biashara?
Ikiwa unakumbana na hitilafu katika Exness Trade, fuata kiungo cha Mwongozo wetu wa utatuzi wa hitilafu katika Exness Trade kwa uteuzi wa mada muhimu.
Pakua Exness Trade
Exness Trade inapatikana kwa Android na iOS katika duka linalofaa la programu, au inaweza kupakuliwa moja kwa moja hapa chini:
Kumbuka: Exness Trade haipatikani katika baadhi ya maeneo kwa Android na iOS. Kwa Android, inaweza kusakinishwa kwenye kifaa chako kwa kutumia faili ya .APK. Pata maelezo zaidi kuhusu jinsi ya kusakinisha faili ya .APK ya Exness Trade. Ikiwa unahitaji usaidizi zaidi wa kusakinisha Exness Trade, tafadhali wasiliana na Usaidizi.
Ni iOS v14.5 pekee au matoleo mapya zaidi ambayo yanaweza kutumika kwa sasa; tunapendekeza kuwa usasishe Exness Trade mara kwa mara.
Vipengele muhimu vya Exness Trade:
- Dhibiti akaunti zako za biashara za Exness, ikijumuisha akaunti za onyesho.
- Uzoefu kamili wa biashara ya simu
- Fanya shughuli popote ulipo, kupitia amana, uondoaji na uhamisho.
- Gumzo la moja kwa moja kupitia LiveChat
- Vipengele vya Habari za Kiuchumi, vilivyo na makala, uchambuzi na zaidi.
- Lugha nyingi za ndani ya programu zinapatikana.
- Na mengi zaidi ya kugundua.
Unaweza pia kupendekeza kipengele ambacho ungependa kuona kikitekelezwa kwenye Tovuti ya Mawazo ya Exness ndani ya programu.