Kutrade kwenye instrument katika soko la kimataifa lililogatuliwa bila mipaka ya kijiografia kunamaanisha kuwa ni muhimu kujua wakati instruments zinapatikana katika saa za eneo lako. Instruments nyingi hazipatikani kwa kutrade wakati wa wikendi, ilhali cryptocurrencies zinapatikana wakati wa wikendi (isipokuwa wakati wa mapumziko ya kila wiki na matengenezo ya seva).
Tafadhali kumbuka kuwa seva zetu za biashara hufuata saa za eneo za UTC+0.
Exness hufuata masharti ya Kuongeza Saa za Mchana ya Marekani (DST) kwa instruments nyingi za biashara (maelezo zaidi yanapatikana hapa chini).
- DST ya Majira ya joto: Machi hadi Novemba
- DST ya Majira ya baridi: Novemba hadi Machi
Kuongeza Saa za Mchana katika majira ya joto huanza Machi 9, 2025 na kumalizika Novemba 2, 2025.
Forex
+Kutrade instruments za forex hakupatikani katika wikendi.
Majira ya joto | Majira ya baridi | ||||
---|---|---|---|---|---|
Forex | Funga |
Ijumaa |
20:59 | Ijumaa | 21:59 |
Kufunguliwa | Jumapili | 21:05 | Jumapili | 22:05 | |
USDCNH na USDTHB | Funga | Ijumaa | 20:59 | Ijumaa | 21:59 |
Kufunguliwa | Jumapili | 23:05 | Jumatatu | Saa 00:05 | |
USDDILS na GBPILS | Funga | Ijumaa | 15:00 | Ijumaa | 16:00 |
Kufunguliwa | Jumatatu | 05:00 | Jumatatu | 06:00 | |
Mapumziko ya kila siku | 15:00 - 05:00 | 16:00 - 06:00 |
Cryptocurrencies
+Kutrade cryptocurrencies nyingi kunapatikana 24/7, ikiwa ni pamoja na wikendi, isipokuwa wakati wa saa za matengenezo ya seva. Hii haijumuishi baadhi ya instruments zilizo na hali ya kufunga pekee wakati wa saa za biashara, hali ambayo huwaruhusu watumiaji kufunga orders zilizopo, lakini orders mpya haziwezi kufunguliwa katika vipindi hivi.
Majira ya joto | Majira ya baridi | |||
---|---|---|---|---|
BTCUSD, ETHUSD |
24/7 |
|||
BTCJPY, BTCTHB, BTCAUD, BTCCNH, BTCZAR |
Jumapili (Hali ya kufunga pekee) |
20:35 - 21:05 |
Jumapili (Hali ya kufunga pekee) |
21:35 - 22:05 |
BTCXAU, BTCXAG |
Jumapili (Hali ya kufunga pekee) |
21:35 - 22:05 | Jumapili (Hali ya kufunga pekee) | 22:35 - 23:05 |
Jumatatu - Alhamisi (Hali ya kufunga pekee) |
20:58 - 22:01 |
Jumatatu - Alhamisi (Hali ya kufunga pekee) |
21:58 - 23:01 |
Bidhaa
+
- Kutrade bidhaa hakupatikani katika wikendi.
- DST itaanza Machi 30, 2025 hadi Oktoba 26, 2025 kwa Alumini (XAL), Shaba (XCU), Nikeli (XNI), Risasi (XPB) na Zinki (XZN).
Metali
Majira ya joto | Majira ya baridi | ||||
---|---|---|---|---|---|
Dhahabu |
Funga |
Ijumaa |
20:58 | Ijumaa | 21:58 |
Kufunguliwa | Jumapili | 22:05 | Jumapili | 23:05 | |
Mapumziko ya kila siku |
20:58 - 22:01 |
21:58 - 23:01 | |||
Kipindi cha HMR | Dakika 30 kabla ya mapumziko ya kila siku na dakika 10 baadaye | ||||
Fedha (XAG) |
Funga |
Ijumaa |
20:58 | Ijumaa | 21:58 |
Kufunguliwa | Jumapili | 22:05 | Jumapili | 23:05 | |
Mapumziko ya kila siku |
20:58 - 22:01 |
21:58 - 23:01 | |||
Kipindi cha HMR | Dakika 30 kabla ya mapumziko ya kila siku | ||||
Platinamu (XPT) |
Funga |
Ijumaa |
20:58 | Ijumaa | 21:58 |
Zilizofunguliwa | Jumapili | 22:10 | Jumapili | 23:10 | |
Mapumziko ya kila siku |
20:58 - 22:05 |
21:58 - 23:05 | |||
Kipindi cha HMR | Dakika 30 kabla ya mapumziko ya kila siku | ||||
Paladiamu (XPD) |
Funga |
Ijumaa |
20:58 | Ijumaa | 21:58 |
Zilizofunguliwa | Jumapili | 22:10 | Jumapili | 23:10 | |
Mapumziko ya kila siku |
20:58 - 22:05 |
21:58 - 23:05 | |||
Kipindi cha HMR | Dakika 30 kabla ya mapumziko ya kila siku | ||||
Alumini (XAL) |
Funga |
Kila siku |
17:54 | Kila siku | 18:54 |
Kufunguliwa | Kila siku | 00:00 | Kila siku | 01:00 | |
Mapumziko ya kila siku |
17:54:59 - 00:00 |
17:54:59 - 00:00 | |||
Shaba (XCU) |
Funga |
Kila siku |
17:54 | Kila siku | 18:54 |
Kufunguliwa | Kila siku | 07:00 | Kila siku | 08:00 | |
Mapumziko ya kila siku |
17:54:59 - 07:00 |
17:54:59 - 08:00 | |||
Nikeli (XNI) |
Funga |
Kila siku |
17:54 | Kila siku | 18:54 |
Kufunguliwa | Kila siku | 07:00 | Kila siku | 08:00 | |
Mapumziko ya kila siku |
17:54:59 - 07:00 |
17:54:59 - 08:00 | |||
Risasi (XPB) |
Funga |
Kila siku |
17:54 | Kila siku | 18:54 |
Kufunguliwa | Kila siku | 00:00 | Kila siku | 01:00 | |
Mapumziko ya kila siku |
17:54:59 - 00:00 |
17:54:59 - 01:00 | |||
Zinki (XZN) |
Funga |
Kila siku |
17:54 | Kila siku | 18:54 |
Kufunguliwa | Kila siku | 00:00 | Kila siku | 01:00 | |
Mapumziko ya kila siku |
17:54:59 - 00:00 |
18:54:59 - 01:00 |
- Orders za XAU hufuata kanuni za kawaida za masharti ya juu ya margin katika saa 4 kabla ya soko kufungwa na saa 1 baada ya soko kufunguliwa; Orders za XAU katika vipindi hivi zimezuiwa kwa leverage ya juu zaidi ya 1:200.
- Orders za XAU zilizowekwa dakika 30 kabla ya mapumziko ya kila siku huathiriwa na masharti ya juu ya margin, na zina vikwazo vya margin kwa kiasi cha juu zaidi cha 1:1000.
Nishati
Majira ya joto | Majira ya baridi | ||||
---|---|---|---|---|---|
USOIL |
Funga |
Ijumaa |
20:45 | Ijumaa | 21:45 |
Kufunguliwa | Jumapili | 22:10 | Jumapili | 23:10 | |
Mapumziko ya kila siku |
20:45 - 22:10 |
21:45 - 23:10 | |||
Kipindi cha kila wiki cha HMR |
Ijumaa saa 16:45 hadi Jumapili saa 22:59 |
Ijumaa saa 17:45 hadi Jumapili saa 23:59 |
|||
UKOIL | Funga |
Ijumaa |
20:55 | Ijumaa | 21:55 |
Kufunguliwa | Jumatatu | 00:10 | Jumatatu | 01:10 | |
Mapumziko ya kila siku |
20:55 - 00:10 |
21:55 - 01:10 | |||
Kipindi cha kila wiki cha HMR |
Ijumaa saa 08:00 hadi Jumatatu saa 00:30 |
Ijumaa saa 09:00 hadi Jumatatu saa 01:30 |
|||
XNGUSD | Funga |
Ijumaa |
20:45 | Ijumaa | 21:45 |
Kufunguliwa | Jumapili | 22:10 | Jumapili | 23:10 | |
Mapumziko ya kila siku |
20:45 - 22:10 |
21:45 - 23:10 |
Stocks
+Kutrade stocks hakupatikani katika wikendi.
Majira ya joto | Majira ya baridi | ||||
---|---|---|---|---|---|
ABBV, ABT, ADBE, ADP, AMGN, AMT, ATVI, AVGO, BIIB, BMY, CHTR, CMCSA, CME, COST, CSCO, CSX, CVS, EA, Ebay, EDU, EQIX, F, GILD, GOOGL, HD, IBM, INTU, ISRG, JPM, KO, LIN, LLY, LMT, MA, MCD, MDLZ, MMM, MO, MRK, MS, NKE, PFE, PG, PM, REGN, SBUX, T, TME, TMO, TMUS, UNH, UPS, V, VIPS, VRTX, VZ, WFC, WMT, XOM, YUMC, ZTO |
Funga |
Ijumaa |
19:45 | Ijumaa | 20:45 |
Kufunguliwa | Jumatatu | 13:40 | Jumatatu | 14:40 | |
Mapumziko ya kila siku |
19:45 - 13:40 |
20:45 - 14:40 | |||
INTC, BAC, TSLA, WFC, BABA, NFLX, C, AMD, PFE, META, JNJ, PYPL, ORCL, NVDA, MSFT, AMZN, AAPL, BA, BEKE, BIDU, BILI, FTNT, JD, LI, NIO, NTES, PDD, TAL,TSM, XPEV, FUTU | Funga |
Ijumaa |
19:45 | Ijumaa | 20:45 |
Kufunguliwa | Jumatatu | 10:00 | Jumatatu | 11:00 | |
Mapumziko ya kila siku |
19:45 - 10:00 |
20:45 - 11:00 | |||
Hali ya kufunga pekee* | 10:00 - 13:40 | 11:00 - 14:40 |
*10:00:00 hadi 13:40:00 UTC+0 katika majira ya joto na 11:00:00 hadi 14:40:00 UTC+0 katika majira ya baridi wakati wa kufunga orders zilizofunguliwa pekee. Katika kipindi hiki, orders mpya za stocks hizi haziwezi kufunguliwa au kubadilishwa. Biashara ya kawaida itarejea saa 13:40:00 UTC+0 katika majira ya joto na 14:40:00 UTC+0 katika majira ya baridi.
Indices
+
- Kutrade indices hakupatikani katika wikendi.
- Hali ya quote pekee hutumika kwa indices kuanzia saa 22:00 hadi 22:05 katika majira ya joto na saa 23:00 hadi 23:05 katika majira ya baridi. Wateja hawawezi kufungua, kubadilisha, au kufunga positions katika kipindi hiki. Positions zinazosubiri hazitatekelezwa na positions hazitafungwa kutokana na stop out.
Majira ya joto | Majira ya baridi | ||||
---|---|---|---|---|---|
AUS200
|
Tarehe | 10.03.2024 - 03.04.2024 | 06.10.2024 - 01.11.2024 | ||
Funga |
Ijumaa |
20:00 | Ijumaa | 20:00 | |
Kufunguliwa | Jumapili | 22:05 | Jumapili | 22:05 | |
Mapumziko ya kila siku | 05:30 - 06:10 / 20:59 - 22:05 | 05:30 - 06:10 / 20:59 - 22:00 | |||
Hali ya kufunga pekee | 20:00 - 20:59 / 22:05 - 22:55 | 20:00 - 20:59 / 22:05 - 22:55 | |||
Hali ya quote pekee | 22:00-22:05 (Jumapili ya pili ya Machi hadi Jumapili ya kwanza ya Novemba) |
22:00-22:05 (Jumapili ya pili ya Machi hadi Jumapili ya kwanza ya Novemba) |
|||
Tarehe | 07.04.2024 - 05.10.2024 | 01.11.2024 - 09.03.2025 |
|||
Funga |
Ijumaa |
20:00 | Ijumaa | 21:00 | |
Kufunguliwa | Jumapili | 22:05 | Jumapili | 23:05 | |
Mapumziko ya kila siku |
05:30 - 06:10 / 20:59 - 22:05 |
05:30 - 06:10 / 21:59 - 23:05 | |||
Hali ya kufunga pekee | 20:00 - 20:59 / 22:05 - 22:55 | 21:00 - 21:59 / 23:05 - 23:55 | |||
Kipindi cha kila siku cha HMR | 18:00 - 23:05 / 05:00 - 06:25 |
19:45 - 01:30 / 07:15 - 08:15 |
|||
Hali ya quote pekee | 22:00-22:05 (Jumapili ya pili ya Machi hadi Jumapili ya kwanza ya Novemba) |
23:00-23:05 (Jumapili ya kwanza ya Novemba hadi Jumapili ya pili ya Machi) |
|||
US30, USTEC, US500 |
Funga |
Ijumaa |
20:00 | Ijumaa | 21:00 |
Kufunguliwa | Jumapili | 22:05 | Jumapili | 23:05 | |
Mapumziko ya kila siku |
21:00 - 22:05 |
22:00 - 23:05 | |||
Hali ya kufunga pekee | 20:00 - 21:00 / 22:05 - 22:30 | 21:00 - 22:00 / 23:05 - 23:30 | |||
Kipindi cha kila siku cha HMR | 18:00 - 23:05 / 05:00 - 06:25 | 19:45 - 01:30 / 07:15 - 08:15 |
|||
Hali ya quote pekee | 22:00 hadi 22:05 Jumapili, Jumatatu, Jumanne, Jumatano na Alhamisi |
23:00 hadi 23:05 Jumapili, Jumatatu, Jumanne, Jumatano na Alhamisi. |
|||
FR40
|
Funga |
Ijumaa |
20:00 | Ijumaa | 21:00 |
Kufunguliwa | Jumapili | 22:05 | Jumapili | 23:05 | |
Mapumziko ya kila siku |
21:00 - 22:05 |
22:00 - 23:05 | |||
Hali ya kufunga pekee | 20:00 - 21:00 / 22:05 - 22:30 | 21:00 - 22:00 / 23:05 - 23:30 | |||
Kipindi cha kila siku cha HMR | 19:30 - 07:15 | 20:30 - 08:15 | |||
Hali ya quote pekee | 22:00 - 22:05 | 23:00 - 23:05 | |||
DE30 |
Funga |
Ijumaa |
20:00 | Ijumaa | 21:00 |
Kufunguliwa | Jumapili | 22:05 | Jumapili | 23:05 | |
Mapumziko ya kila siku |
21:00 - 22:05 |
22:00 - 23:05 | |||
Hali ya kufunga pekee | 20:00 - 21:00 / 22:05 - 22:30 | 21:00 - 22:00 / 23:05 - 23:30 | |||
Kipindi cha kila siku cha HMR | 19:30 - 07:15 | 20:30 - 08:15 | |||
Hali ya quote pekee | 22:00 - 22:05 | 23:00 - 23:05 | |||
STOXX50 |
Funga |
Ijumaa |
20:00 | Ijumaa | 21:00 |
Zilizofunguliwa | Jumapili | 22:05 | Jumapili | 23:05 | |
Mapumziko ya kila siku |
21:00 - 22:05 |
22:00 - 23:05 | |||
Hali ya kufunga pekee | 20:00 - 21:00 / 22:05 - 22:30 | 21:00 - 22:00 / 23:05 - 23:30 | |||
Kipindi cha kila siku cha HMR | 19:30 - 07:15 | 20:30 - 08:15 | |||
Hali ya quote pekee | 22:00 - 22:05 | 23:00 - 23:05 | |||
HK50* |
Funga |
Ijumaa |
20:00 |
Ijumaa |
21:00 |
Kufunguliwa | Jumapili | 22:05 | Jumapili | 23:05 | |
Mapumziko ya kila siku | 00:45 - 01:15 04:30 - 05:00 08:30 - 09:15 |
00:45 - 01:15 04:30 - 05:00 08:30 - 09:15 |
|||
Mapumziko ya usiku | 21:00 - 22:05 | 22:00 - 23:05 | |||
Hali ya kufunga pekee |
20:00 - 21:00 / 22:05 - 23:00 |
01:00 - 22:00 / 23:05 - 24:00 | |||
Kipindi cha kila siku cha HMR | 17:00 - 22:15 / 00:15 - 01:30 | 18:00 - 23:15 / 00:15 - 01:30 | |||
Hali ya quote pekee | 22:00 - 22:05 | 23:00 - 23:05 | |||
JP225 |
Funga |
Ijumaa |
20:00 |
Ijumaa |
21:00 |
Kufunguliwa | Jumapili | 22:05 | Jumapili | 23:05 | |
Mapumziko ya kila siku | 21:00 - 22:05 | 22:00 - 23:05 | |||
Hali ya kufunga pekee |
20:00 - 20:59 / 22:05 - 23:00 |
21:00 - 21:59 / 23:05 - 24:00 | |||
Kipindi cha kila siku cha HMR | 20:59 - 22:05 | 21:59 - 23:05 | |||
Hali ya quote pekee | 22:00 - 22:05 | 23:00 - 23:05 | |||
UK100 |
Funga |
Ijumaa |
20:00 |
Ijumaa |
21:00 |
Kufunguliwa | Jumapili | 22:05 | Jumapili | 23:05 | |
Mapumziko ya kila siku | 21:00 - 22:05 | 22:00 - 23:05 | |||
Hali ya kufunga pekee |
20:00 - 21:00 / 22:05 - 22:30 |
21:00 - 22:00 / 23:05 - 23:30 | |||
Kipindi cha kila siku cha HMR | 19:30 - 07:15 | Saa 20:30 - saa 08:15 (isipokuwa Ijumaa saa 19:00 - saa 08:15) | |||
Hali ya quote pekee | 22:00 - 22:05 | 23:00 - 23:05 |
*Mapumziko mengi ya kila siku ya HK50 hayataonyeshwa kwenye MT4 kwa sababu ya vikwazo vya jukwaa. Tafadhali rejelea tovuti kwa saa zilizosasishwa za biashara.
Kipindi cha Rollover
+Huu ndio wakati trades zilizofunguliwa zinavukishwa kutoka siku moja hadi nyingine bila kutekelezwa. Hii husababisha muda wa mapumziko kwa taasisi yoyote inayofanya trades za instruments hizi, kama vile benki za daraja la 1, benki ndogo, ECN na watoa huduma wengine wa bei.
- Liquidity hupungua kutoka kwa soko wakati wa rollover na kusababisha spreads kubwa. Hii inaweza kutarajiwa wakati wa rollovers zote.
- Kuvukisha trades hadi siku inayofuata hutoza malipo ya usiku kucha sawa na tofauti ya viwango husika vya ada, vinavyojulikana kwa kawaida kama swap.
- Migawio hutumika kwa orders wakati wa rollover.
- Ratiba ya rollover huanza Jumapili hadi Alhamisi saa 21:00 UTC+0 katika majira ya joto na saa 22:00 UTC+0 katika majira ya baridi.
Tunafafanua rollover kama kipindi cha saa 1-2. Liquidity ya chini inaweza kutokea kwa muda mrefu zaidi ya kipindi cha rollover, kulingana na instrument.
Wakati wa kuchakata rollover, operesheni zote za biashara na za kifedha husitishwa kwa dakika chache. Hii hutokea kutokana na vikomo vya mfumo. Tafadhali fahamu usumbufu huu ulioratibiwa unapopanga shughuli zako.
Dhahabu (XAUUSD) haithiriwi na hali hii sababu haijafunguliwa kwa biashara kwa wakati huu. Hata hivyo, karibu na rollover ya forex, inaweza kuwa na liquidity ndogo kuliko kawaida.
Kubadilisha saa za mchana kulingana na majira (DST)
+Katika majira ya joto na majira ya baridi, baadhi ya nchi hubadilisha saa zao za eneo ili ziendane na masharti ya Kuongeza Saa za Mchana (DST). Hii huathiri saa za kufunguliwa na kufungwa kwa soko katika majira ya joto na baridi. Tunazingatia tarehe za Kuongeza Saa za Mchana za Marekani (DST) kwa instruments nyingi*.
Swap huwekwa au kutozwa kwa akaunti za kutrade saa 21:00/22:00 UTC+0 hadi position itakapofungwa. Pata maelezo zaidi kuhusu wakati ambao swap hutozwa katika majira ya joto na baridi.
Jedwali lililo hapa chini linaonyesha vipindi vya majira ya joto na baridi.
Huanza | Huisha | |
Majira ya joto | Jumapili ya pili ya Machi | Jumapili ya kwanza ya Novemba |
Majira ya baridi | Jumapili ya kwanza ya Novemba | Jumapili ya pili ya Machi |
*Instruments za XALUSD, XCUUSD, XNIUSD XPBUSD na XZNUSD hufuata DST ya Uingereza.
Zifuatazo ni saa za kufunguliwa na kufungwa kwa vituo vikuu vya biashara vya kimataifa kwa majira ya joto na baridi.
Eneo | Jiji | Majira ya joto | Majira ya baridi |
Kufunguliwa - Kufungwa | Kufunguliwa - Kufungwa | ||
Asia | Tokyo | 00:00 - 08:00 | 00:00 - 08:00 |
Hong Kong/Singapoo | 01:00 - 09:00 | 01:00 - 09:00 | |
Ulaya | Frankfurt | 06:00 - 18:00 | 07:00 - 19:00 |
London | 08:00 - 16:30 | 08:00 - 16:30 | |
Marekani | New York | 13:30 - 20:00 | 14:30 - 21:00 |
Chicago | 13:30 - 20:00 | 14:30 - 21:00 | |
Pasifiki | Wellington | 22:00 - 05:00 | 21:00 - 04:00 |
Sydney | 00:00 - 06:00 | 23:00 - 05:00 |
Ratiba ya uboreshaji wa seva wa MetaTrader
+Ili kuboresha utendaji wa seva ya biashara na kuboresha huduma zetu, huwa tunafanya matengenezo ya mara kwa mara. Ifuatayo ni ratiba ya vipindi hivi vya matengenezo:
- Matengenezo ya Jumamosi: Kila Jumamosi, matengenezo hufanyika kati ya saa 05:00 hadi saa 09:00 UTC+0 (wakati wa majira ya baridi) na saa 04:00 hadi saa 08:00 UTC+0 (wakati wa majira ya joto).
- Matengenezo ya Jumapili: Kila Jumapili, matengenezo hufanyika kati ya saa 06:00 hadi saa 08:00 UTC+0.
Katika kipindi hiki, kuwasha tena seva kunaweza kusababisha muda wa kutofanya kazi wa hadi dakika 25 kwa kila seva.
- Matengenezo ya kila siku: Matengenezo ya kila siku yanaweza pia kufanyika usiku baada ya rollover, karibu saa 23:15 UTC+0 na kwa kawaida huchukua hadi dakika 15 kwa kila seva.
Athari zinazoweza kutokea wakati wa matengenezo:
Wakati wa vipindi vya matengenezo, huduma zifuatazo zinaweza kukatizwa kwa muda:
- Biashara
- Mwonekano wa akaunti kwenye Eneo la Binafsi
- Internal transfers, uwekaji na utoaji pesa
Ingawa shughuli nyingi za matengenezo zina athari ndogo, tunapendekeza upange shughuli zako za biashara ipasavyo.
Vipindi vya matengenezo vinaweza kuongezwa au kufupishwa kulingana na kazi inayohitajika kila wiki. Utapokea arifa kwenye Eneo lako la Binafsi (EB) kabla na wakati wa kipindi cha matengenezo cha wikendi.
Tafadhali fahamu kuwa, kama ilivyobainishwa kwenye Mkataba wa Mteja (p. 1.5), Exness haitawajibika kwa hasara yoyote inayoweza kutokea wakati wa matengenezo yaliyoratibiwa. Tunathamini uelewa wako na tumejitolea kupunguza usumbufu wowote.